• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Elimu Msingi

Malengo na majukumu ya idara ya elimu msingi.

 Kazi kubwa ya Idara ya Elimu Msingi ni kama ifuatavyo-:

  •   Kuongeza uandikishaji kwa kuzingatia fursa sawa.
  •   Kuinua ubora wa Elimu katika ngazi zote kwa Halmashauri.
  •   Kusimamia uwezo wa utendaji kazi.
  •   Kushughulikia masuala ya mtambuka na taratibu za kitaasisi.
  •  Kufanya utafiti wa Kielimu,ufuatiliaji na tathmini za Kielelimu.
  •   Kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika
  •  Kuinua ubora wa mazingira ya Kufundishia na kujifunzia wanafunzi wote.
  •   Kuongeza idadi ya madarasa na watoto wa shule za awali.
  •   Kuhakikisha kuwa Elimu ya UKIMWI (VVU), Mazingira na stadi za maisha zinatolewa kwa ufanisi katika shule za msingi.
  •  Kusimamia upatikanaji na uwezeshaji wa mazingira kwa wanafunzi wenye Ulemavu.
  •   Mikakati  iliyopo  ili kuboresha elimu na kuinua kiwango cha taaluma na  kufanikisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.(BRN).
  •   Kutekeleza shughuli muhimu kulingana na ufinyu wa bajeti uliopo.
  •   Kuboresha Taaluma kwa kugawa maafisa Elimu kila kata kwa ajili ya ufuatiliaji wa karibu wa Taaluma na matatizo ya walimu.
  •   Kuboresha miundo mbinu na mazingira ya kujifunza na kujifunzia kwa kutumia fursa zilizopo.
  •   Kufanya vikao mbalimbali vya kila mwezi kati ya Maofisa Elimu, Waratibu na Walimu Wakuu kwa kuzingatia ratiba maalum          iliyoandaliwa.Vikao rasmi Vinne kila mwezi vimekwishafanyika kufikia sasa.
  •   Uendeshaji wa Semina mbalimbali za masomo na semina za kitaalamu na kufanya mrejesho shuleni.
  •   Kuwajengea uwezo Kamati  za Taaluma kwa kila shule ili kuweza kufanya upimaji na tathimini kupata mweleko wa Maendeleo ya Wanafunzi.
  •   Kuimarisha Vyama (Clubs) za masomo na k.k.k mashuleni  .
  •   Kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Mfano Wazazi, watu binafsi na mashirika mbalimbal na Makampuni.
  • Shughuli za Elimu ya Watu wazima-

Kitengo hiki kinatekeleza  shughuli zifuatazo-:

  Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Waliokosa(MEMKWA)

  Mpango wa Uwiano kati ya Elimu ya Watu Wazima na Jamii(MUKEJA)

  Program ya Elimu ya Sekondari Huria (PESH)

  Elimu Masaf na Ana kwa Ana(ODL)

  Program ya Ndiyo Ninaweza(YES I CAN)(Idadi ya vituo vimeambatanishwa).

Kitengo cha utamaduni

Vilabu vya Michezo,na vikundi vya sanaa.Kusimamia matamasha na mashindano  mbalimbali ,sherehe za  kitaifa na Kimataifa.Pia kusimamia  ukusanyaji wa mapato katika kumbi za burudani,matangazo,viwanja vya wazi ,usajili na kumbi zilizopo. 

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA March 03, 2023
  • AJIRA ZA SENSA ZA MUDA KWA MWAKA 2022 May 05, 2022
  • Tangazo la kazi za muda May 25, 2022
  • Tangazo la kazi za muda May 25, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Chanjo ya polio kuanza kutolewa

    November 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa wa Mwanza yaridhishwa na mpangilio wa ujenzi unaoendelea wa soko kuu la kisasa jijini Mwanza.

    September 01, 2022
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.