Posted on: January 23rd, 2018
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza amekutana na wenyeviti wa mitaa yote ya Jiji la Mwanza
Katika kikao chake hicho na wenyeviti, amewaomba kuisadia Halmashauri ya Jiji la Mwanza kupata takwimu sahihi...
Posted on: January 19th, 2018
Mheshimiwa Naibu meya wa Jiji la Mwanza na Diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha amepokea msaada wa vifaa mbalimbali vya Hospitali kutoka " Lions Club of Victoria" walioko Jijini Mwanza.
Vifaa v...
Posted on: January 18th, 2018
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Kiomoni Kiburwa Kibamba akutana Walimu wakuu wa shule za Sekondari na Misingi kusisitiza Maagizo na Maelekezo ya Mheshimiwa Rais
Mkurugenzi ameyasema hayo leo katika ki...