Posted on: April 30th, 2018
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mwanza limeandika historia ya kuwa Baraza la kwanza kulitembelea Jiji la Dodoma baada ya kupandishwa hadhi hiyo Aprili, 26, 2018.Lengo kuu la ziara ikiwa n...
Posted on: April 25th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mheshimiwa John Mongella leo ameongoza zoezi la ugawaji vitabu katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Zoezi hilo limefanyika leo katika shule ya Msingi Buhongwa.
Akiongea waka...
Posted on: April 19th, 2018
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ndg Kiomoni Kibamba Kiburwa amekutana na walimu 450 walioamishiwa shule za Msingi kutoka shule za Sekondari na kutoa ufafanuzi wa madai kadha wa kadha waliy...