Posted on: March 11th, 2024
Baraza la Madiwani, Menejimenti na watumishi wote wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza,
wanakupongeza Ndg. Kiomoni Kiburwa Kibamba
kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji, tunakukaribisha na tunaahidi...
Posted on: February 26th, 2024
Hospitali ya Nyamagana yakabidhiwa gari jipya la wagonjwa (Ambulance) lenye namba ya usajili STM 7781 ambalo litasaidia kupeleka huduma karibu pamoja na kuokoa maisha ya wananchi wa Jiji la Mwanza.
...
Posted on: February 23rd, 2024
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Mhe, Sima C. Sima ameongoza kikao cha Madiwani na wajumbe kujadili mapendelezo ya mpango wa bajeti ya Halmashauri ya Jiji la M...