• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Waziri afurahishwa na utekelezaji wa miradi Jijini Mwanza

Posted on: May 14th, 2018

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI amefanya ziara ya kikazi kukagua miradi ya maendeleo ya Kimkakati inayotarajiwa kutekelezwa /na Mingine ipo kwenye utekelezaji na Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ukarabati wa Mabweni shule ya sekondari Nganza,Eneo la ujenzi  maegesho ya malori ya mizigo –Buhongwa,Ujenzi wa stendi ya Mabasi –Nyegezi ,Mradi wa Umeme wa Jua – Hospitali ya wilaya Nyamagana,Ujenzi wa Barabara ya mawe Mulungushi, Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa  -Igoma  na Ujenzi wa Madarasa Manne shule ya msingi Nyashana.


Miradi yote iliyotembelewa na Mheshimiwa Jaffo ipo kwenye hatua mbali mbali za utekelezaji , suala ambalo limemfurahisha  Mheshimiwa  Waziri kwa namna Mkuu  wa Mkoa wa Mwanza ,Mkuu wa wilaya ya  Nyamagana,Mkurugenzi wa Jiji na timu yake ya wataalamu wanavyotekeza miradi mikubwa  kwa ufanisi mkubwa .


Akihitimisha ziara yake katika Shule ya Msingi Nyashana  Mheshimiwa Jaffo amehaidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa ajili ya kuanzisha shule nyingine kata ya mbugani kutokana na wingi wa wanafunzi katika shule ya msingi Nyashana. Aidha  Mheshimiwa Jaffo  amempongeza Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kwa kujenga madarasa mengi na yenye viwango  “nimesikia Mkurugenzi amejenga  madarasa mazuri kama haya niliyoyaona 60 shule mbali mbali ndani ya Jiji! Nikupongeze binafsi kwa sababu nilishaagiza madarasa yote yanayojengwa sasa kuwekewa marumaru chini na wewe tayari ilikwishaanza kutekeleza Hongera sana” amesema Mheshimiwa Jaffo.

Mkurugenzi wa JIji la Mwanza ,Kiomoni Kibamba amesema  kwamba Halmashauri  ya Jiji la Mwanza imekusudia kutekeleza miradi mingi ya kimkakati na hiyo iliyotembelewa na Mheshimiwa waziri ni sehemu tu ya miradi yote.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.