• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Nyamagana yatia fora miradi ya mwenge 2019

Posted on: May 18th, 2019

Miradi mikubwa  10 yenye thamani ya  4.7  Bilioni yamgusa Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa wilayani Nyamagana .

Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Mwanza katika wilaya ya Nyamagana mwaka 2019 umepitia Miradi ya maendeleo 10 yenye thamani ya Sh. 4,781,017,648.79 ikiwa Miradi tisa imezinduliwa na mmoja uliobakia umewekewa jiwe la Msingi moja.

Kaimu mkuu wa Wilaya ya Sengerema amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya Dkt. Philp Nyimbi pamoja na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama pamoja na viongozi mbalimbali wa kisiasa na taasisi za Kiserekali na viongozi wa Dini. Wamepokea Mwenge  huo uliokimbizwa na kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Mzee Mkongea Ally na kupitia miradi 10.

Miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru ni pamoja na Mradi wa wakuwezesha kiuchumi Vikundi  vya ujasirimali 257, mradi wa ujenzi wa shule ya Msingi, kiwanda cha kufyatulia matolii, ujenzi wa madarasa, Mradi wa maji, kilimo cha kisasa pia Mwenge wa Uhuru umeweza kuzindua makumbusho maalum ya kumuenzi Hayati Baba wa taifa, Ujenzi wa Zahanati, usafi wa mazingira pamoja na ujenzi wa barabara ambayo miradi yote imepokelewa

Miradi yote iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru imetekelezwa kwa ufanisi mkubwa jambo ambalo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Ndg Mzee Mkongea Ali amesema Halmashauri zingine zinapaswa kujifunza kutoka Jiji la Mwanza.

Jiji la Mwanza inakua Halmashauri ya Kwanza kimkoa kwa Mwaka huu miradi take yote 10 kufunguliwa na Mwenge wa Uhuru 2019

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA March 03, 2023
  • AJIRA ZA SENSA ZA MUDA KWA MWAKA 2022 May 05, 2022
  • Tangazo la kazi za muda May 25, 2022
  • Tangazo la kazi za muda May 25, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Chanjo ya polio kuanza kutolewa

    November 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa wa Mwanza yaridhishwa na mpangilio wa ujenzi unaoendelea wa soko kuu la kisasa jijini Mwanza.

    September 01, 2022
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.