• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Naibu waziri afurahishwa na Miradi mikubwa inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Posted on: March 20th, 2018

Naibu waziri afurahishwa na Miradi mikubwa inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Naibu waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI,Mheshimiwa Joseph George Kakunda amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza na kutembelea miradi  Mikubwa inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza na wadau wengine wa maendeleo yenye thamani zaidi ya Shilingi Bilioni 5 za Kitanzania.

Miradi ya Maendeleo iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa yenye thamani ya zaidi ya milioni Miatisa,Ujenzi wa Dampo la Kisasa ambao utagharimu zaidi ya Bilioni Nne.

Akiwa Katika Machinjio ya Kisasa Mheshimiwa Kakunda,amewapongeza wadau wa maendeleo LVEMP pamoja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kutekeleza mradi mkubwa  wenye kuzingatia athari za mazingira na utakaotoa fursa kubwa za kiuchumi kwa wakazi wa Mwanza

“Niwashukuru kwa kuwekeza kwenye mradi huu mkubwa  wa kisasa ambao utaongeza tija katika uchinjaji wa mifugo na uhifadhi wa mazao ya mifugo’’ alisema Mheshimiwa Kakunda.Sanjari na Machinjio  Mheshimiwa Kakunda akiwa katika Dampo la Kisasa Buhongwa, alishuhudia namna wananchi walivyovamia eneo hilo. Hivyo kutokana na uvamizi huo Mheshiiwa Kakunda amewataka wananchi wote walioko kwenye “Buffer zone” kuondoka mara moja maeneo hayo kwa ajili ya ustawi wa afya zao

Pamoja na ziara Mheshimiwa Kakunda alifanya Mkutano na watumishi wa Halmashauri na kuitaka Halmashaurii ya Jiji la Mwanza kuweka mfumo mzuri wa kuhifadhi milima ili kuzuia  uvamiaji wa maeneo ya milima ili kuzuia athari za mazingira

Pamoja na hilo, Mheshimiwa  Kakunda  ameiagiza Halmashauri kuteuwa shule kwa ajili ya watoto wenye mahitaji maalum ili kuwafanya walemavu kupata Elimu

Aidha Mheshimiwa Kakunda amesisitiza watumishi kufanya kazi kwa kuzingatia miiko na maadili ya watumishi wa umma hususani kuvaa mavazi yenye haiba.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.