• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Mbunge wa Nyamagana mhe.Mabula atoa vitanda vyenye thamani ya milioni 11,Zahanati ya Mhandu kuunga juhudi jitihada zinazofanywa na Serikali kuboresha afya

Posted on: April 25th, 2019

Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanislaus Mabula ameunga mkono harakati ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan inayolenga uzazi salama na kupunguza vifo vya wajawazito yenye kauli mbiu *Tuwavushe Salama, Maneno sasa basi ni vitendo*, kwa kutoa msaada wa vitanda vinne vya kujifungulia wajawazito katika Zahanati ya Manduh vyenye thamani ya sh. 11,200,000.00.


Mhe. Mabula amekabidhi msaada  huo hivi Leo  kwa uongozi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza ili kuwezesha Zahanati ya Mhandu kuanza kazi Mara moja kutokana na agizo la mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndg. John Mongella aliyetembelea Zahanati hiyo apo juzi.

Hafla ya makabidhiano imefanyika katika Zahanati ya  Mhandu na kuhudhuriwa na kaimu Mkurugenzi wa halmshauri ya Jiji la Mwanza ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Jiji Dkt. Juma Rajabu Mfanga, Diwani Kata ya Manduh Mhe. Constantine Sima, Mwenyekiti wa taasis ya First Community Ahmed Misanga, Katibu Mbunge Jimbo la Nyamagana Bi. Florah Magabe na Bi. Susan pamoja na Mtendaji wa Kata, wenyeviti wa Mtaa, viongozi wa CCM Kata.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA March 03, 2023
  • AJIRA ZA SENSA ZA MUDA KWA MWAKA 2022 May 05, 2022
  • Tangazo la kazi za muda May 25, 2022
  • Tangazo la kazi za muda May 25, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Chanjo ya polio kuanza kutolewa

    November 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa wa Mwanza yaridhishwa na mpangilio wa ujenzi unaoendelea wa soko kuu la kisasa jijini Mwanza.

    September 01, 2022
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.