• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Lazima ifikapo tarehe 11, Januari wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waingie madarasani - Mhe.Mongella

Posted on: December 30th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza afanya ziara ya kikazi Halmashauri ya Jiji la Mwanza kukagua ujenzi wa madarasa

Akiongozana na kamati ya Usalama ya Mkoa, Mhe Mongella ametembelea kata 10 kuangalia hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa madarasa.

Akiwa katika ziara Mhe.Mongella amesema pamoja na kazi kubwa iliyofanyika lakini Halmashauri kwa kushirikiana na wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanawajibu wa kufanya jitihada kwa ajili ya kuongeza madarasa zaidi kwa kulenga mwaka 2022 ambapo ndio wanafunzi wengi walionza shule za msingi 2016 kwa wingi kutokana na sera ya " Elimu bila malipo" watajiunga na kidato cha kwanza.

Aidha Mhe.Mongella amewataka wenyeviti wa mitaa kuwahamasisha wananchi na kuwawekea utaratibu usio kuwa na kero kushiriki katika shughuli za maendeleo

Halmashauri ya Jiji la Mwanza ilikuwa na upungufu wa madarasa 122 lakini mpaka sasa madarasa 67 yamekamilika na madarasa 55 yapo katika hatua za mwisho za ukamishwaji

Matangazo ya Kawaida

  • MAJINA YA WALIOFAULU AJIRA ZA MUDA ZA KARANI, MSIMAMIZI WA MAUDHUI NA TEHAMA MWANZA JIJI July 27, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAKARANI, WASIMAMIZI WA MAUDHUI NA WASIMAMIZI WA TEHAMA WA KAZI ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 WILAYA YA NYAMAGANA July 16, 2022
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI July 20, 2022
  • AJIRA ZA SENSA ZA MUDA KWA MWAKA 2022 May 05, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Viongozi wa wilaya na Halmashauri wapongezwa Kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo

    August 11, 2022
  • Viongozi wa wilaya na Halmashauri wapongezwa Kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo

    August 11, 2022
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam K. Malima ahimiza Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuongeza makusanyo ya ndani

    August 03, 2022
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam K. Malima ahimiza Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuongeza makusanyo ya ndani

    August 03, 2022
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.