• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Jiji la Mwanza limeandika historia ya kuwa Jiji la kwanza kulitembelea Jiji jipya la Dodoma

Posted on: April 30th, 2018

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mwanza limeandika historia ya kuwa Baraza la kwanza kulitembelea Jiji la Dodoma baada ya kupandishwa hadhi hiyo Aprili, 26, 2018.Lengo kuu la ziara ikiwa ni kubadilishana uzoefu hususan katika suala la usafi na Mazingira

Katika ziara hiyo  waheshimiwa madiwani  wakiongozwa na Naibu meya wa Jiji la Mwanza  Mheshimiwa Bhiku Kotecha wamepata fursa ya kulitembelea Dampo la kisasa la kuhifadhia taka kwa njia ya kuzifukia chini (Sanitary land fill)  lilopo eneo la Chidaya  kata ya Matumbulu nje kidogo ya Jiji  Dodoma.

Wakiwa katika Dampo hilo walipata maelezo ya kina juu ya mradi huo kutoka kwa Mhandisi wa Mazingira wa Jiji la Dodoma Barnabas Faida, ambaye aliwaeleza kuwa mradi huo umegharimu Bilioni 7.1 na umetumia zaidi ya Hekari 48 ambapo kwa siku linachukua tani 120 hadi 140 za taka  Mradi huo ulianza kutekelezwa tangu 2011 kwa fedha za serekali ikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Dunia  kupitia mradi wa kuimarisha Majiji ya kimkakati (TCSP)

Aidha waheshimiwa madiwani pamoja na wataalamu waliombatana nao walipata fursa ya kulitembelea Bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakiongozwa na Mwenyeji wao Mheshimiwa Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana

Katika ziara hiyo Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Ndugu Godfrey Kunambi alifurahia  ujio wa ugeni  kutoka halmashauri ya jiji la Mwanza na kuomba uhusiano huo kuendelea kudumu maana “kupitia  mahusiano  haya tutabadilishana uzoefu maana ninyi wenzetu mnauzoefu wa kutosha ya namna ya kuliendesha Jiji  hivyo kupitia mahusiano haya tutajifunza kwenu” alisema Ndugu Kunambi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.