• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Halmashauri ya Jiji la Mwanza yamwagiwa sifa utekelezaji wa mradi wa Anwani za makazi

Posted on: April 8th, 2019

Halmashauri ya Jiji la Mwanza imepongezwa na ujumbe kutoka wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi kwa namna wanavyotoa ushirikiano kwa wizara husika katika utekelezaji wa mradi wa anwani za makazi.

Hayo yamesemwa leo na ujumbe kutoka wizara ya Ujenzi ,uchukuzi na mawasiliano uliongozwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt Yonaz Jimmy.

Aidha Dkt Jimy amesema kukamilika kwa mradi huu kutaifungua Dunia, kurahisisha shughuli za biashara za mtandao,utoaji wa huduma hata pia kuimarisha suala la usalama.

Akizungumza kwa niaba ya Halmashauri Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba amesema mradi  huu utakamilika kwa wakati na wala hana shaka na hilo.

" Mwanza huwa hatuna longolongo katika utekelezaji wa miradi na kwa time yangu  hii nina imani kubwa suala hili litakamilika kwa muda"

Mpaka sasa jumla ya nguzo 400 na mbawa 700 zimekwishapokelewa na Halmashauri kwa ajili ya kusimikwa mitaa mbalimbali


Matangazo ya Kawaida

  • MAJINA YA WALIOFAULU AJIRA ZA MUDA ZA KARANI, MSIMAMIZI WA MAUDHUI NA TEHAMA MWANZA JIJI July 27, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAKARANI, WASIMAMIZI WA MAUDHUI NA WASIMAMIZI WA TEHAMA WA KAZI ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 WILAYA YA NYAMAGANA July 16, 2022
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI July 20, 2022
  • AJIRA ZA SENSA ZA MUDA KWA MWAKA 2022 May 05, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Chanjo ya polio kuanza kutolewa

    November 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

    September 29, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa wa Mwanza yaridhishwa na mpangilio wa ujenzi unaoendelea wa soko kuu la kisasa jijini Mwanza.

    September 01, 2022
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.