• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

DC ateketeza zana za uvuvi haramu -Ziwa victoria

Posted on: March 23rd, 2018


Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mheshimiwa,Mary Tesha Onesmo ametekeza zana za Uvuvi haramu katika ziwa Victoria. Zoezi hili limefanyika mapema jana katika Dampo la Buhongwa.

Akitoa Msimamo wa serikali wakati wa uteketezaji wa zana za Uvuvi Haramu Mheshimiwa Tesha amesema, Watu wote wanaojihusisha na Uvuvi haramu wataendelea kukamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria ili kuweza kulinda ziwa letu.


Aidha Mheshimiwa Tesha amewahasa wadau wa uvuvi kuendelea kuunga mkono  serikali ya awamu ya Tano kutunza mazao ya Uvuvi kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Akitoa taarifa juu ya operesheni hiyo, Mkuu wa Operesheni Kanda ya Mwanza Ndg. Gabriel. M. Mageni amesema Operesheni  hii imezingatia  sheria ya Uvuvi Na.22 ya Mwaka 2003 na sheria ya Mazingira ya Na.4 ya  mwaka 2004.

“Tumefanya Ukaguzi kwenye viwanda Vitano vya kuchakata Samaki,Maeneo Saba ya kuchakata mabondo ya samaki na viwanda viwili vya kutengeneza nyavu na pia bandari za kupokelea mizigo kutoka Nje ya Jiji la Mwanza” amesema ndg Mageni

Aidha Ndugu Mageni amesema, zana zilizokamatwa ni pamoja na Nyavu za makila,(Gillnets) 5970,Makokoro ya dagaa 108, Nyavu za timba 106,makokoro ya Sangara 48, Samaki waliokamatwa kilogramu  1554, Mabondo ya sangara 39,Injini za boti 9,Kamba za kokoro mita 10,000, Kimea (Cast nets) 4,Watuhumiwa 4. Zana zote  hizo zina gharama ya Tsh 293,400,000

Akitoa taarifa ya mapato yaliyokusanywa kutokana na mauzo ya mazao ya uvuvi na faini ndg Mageni amesema jumla ya Tsh 172,702,400 na tayari imelipwa Tsh 166,702,400 katika akaunti ya serikali.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.