• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Fursa za Uwekezaji

Utangulizi

Halmashauri ya Jiji la Mwanza ni Halmashauri mojawapo kati ya Halmashauri nne zilizo katika mchakato wa kutekeleza miradi mikubwa ya kiuwekezaji kwa kushirikiana na Mfuko wa Mitaji wa Maendeleo wa Mataifa ‘UNCDF’. Halmashauri nyingine ni Halmashauri ya Jiji la Arusha na Tanga, na Manispaa ya Ilemela. Moja ya kigezo kinachotakiwa kutimizwa kwa Halmashauri zilizochaguliwa na UNCDF ni kuhakikisha kila Halmashauri inatengeneza Mpango wa Uwekezaji wa miaka mitano ukionyesha miradi inayopendekezwa kutekelezwa kwa kipindi hicho pamoja  na mpango kazi wa utekelezaji wa miradi hiyo.

Hali ya utekelezaji

Halmashauri imefanikiwa kuandaa Mpango wa Uwekezaji wa miaka mitano ukiwa na mapendekezo ya kutekeleza miradi 33 yenye thamani ya Shilingi 571,584,081,922,695.00 kutoka katika Sekta mbalimbali zilizo ndani ya Halmashauri. Kila mradi unaonyesha mapendekezo ya gharama za kutekeleza mradi husika, nachanzo cha fedha cha kutekeleza mradi. Pia, kuna Mpango kazi wa miaka mitano wa kuitekeleza miradi hiyo kuanzia mwaka wa fedha 2018/2019. Miradi iliyopendekezwa inatokana na miradi iliyo kwenye Mpango Kabambe wa Halmashauri ya Jiji, lakini pia mapendekezo ya miradi kutoka Sekta mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Jiji.

            Mapendekezo ya miradi na mtiririko mzima umeambatanishwa.

Nawasilisha.

KIOMONI KIBURWA KIBAMBA

MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA

1.0      Mapendekezo ya Mpango wa Uwekezaji 

NA

JINA LA MRADI

FAIDA ZINAZOTARAJIWA KUPATIKANA

MAKADIRIO YA GHARAMA

CHANZO CHA FEDHA
 
MAEGESHO
 
1

ENEO LA STENDI YA MABASI
  •  
 
1.1

Upanuzi wa Stendi ya mabasi Nyegezi
  • Kupunguza foleni kuelekea na kutoka katikati ya mjini
  • Kuboresha huduma nzuri kwa wananchi
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri na Serikali kuu kwa ujumla
  • Kuzalisha ajira kwa wananchi
  • Kuwa na ratiba nzuri ya mabasi wakati wa kuondoka kuelekea maeneo mbalimbali

8,875,000,000

MWANZA CC & MWEKEZAJI

1.2

Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano na eneo la kuegesha magari  eneo la Gandhi
  • Kuzalisha ajira kwa wananchi,
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

14,400,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

Jumla ndogo
  •  

23,275,000,000

  •  

2

ENEO LA KUEGESHA MAGARI YA MIZIGO

2.1

Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Buhongwa
  • Kuboresha mandhari ya Jiji la mwanza
  • Chanzo cha Uwekezaji  wa miradi mingine
  • Kupunguza foleni kuelekea na kutoka katikati ya mjini
  • Kuboresha huduma nzuri kwa wananchi
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri na Serikali kuu kwa ujumla
  • Kuzalisha ajira kwa wananchi
  • Kuwa na ratiba nzuri ya mabasi wakati wa kuondoka kuelekea maeneo mbalimbali

65,430,000,000

MWANZA CC &MWEKEZAJI

2.2

Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Igoma

44,575,000,000

MWANZA CC &MWEKEZAJI

Jumla ndogo
  •  

110,005,000,000

  •  

3

MICHEZO

3.1

Ukarabati wa Uwanja wa michezo  Nyamagana
  • Kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri ya jiji
  • Kuwepo na program nzuri ya michezo, hususan ya mpira wa miguu
  • Kuwa na uwanja utakasaidia mahitaji ya wananchi na pia kuleta starehe kwa wananchi wa Jiji
  • Kuongeza vipaji kwa vijana wa Jiji la mwanza
  • Kuongeza ajira kwa vijana

5,889,230,695

MWANZA CC &MWEKEZAJI

3.2

Ukarabati wa Viwanja vya michezo katika Jiji la Mwanza(maeneo hayo yatajwe)
  • Kuongeza mapato ya ndani kwa Halmashauri ya jiji
  • Kuwepo na program nzuri ya michezo, hususan ya mpira wa miguu na michezo mingine
  • Kuwa na uwanja utakasaidia mahitaji ya wananchi na pia kuleta starehe kwa wananchi wa Jiji
  • Kuongeza vipaji kwa vijana wa Jiji la mwanza
  • Kuongeza ajira kwa vijana

780,000,000

MWANZA CC &MWEKEZAJI

3.3

Ujenzi wa uwanja wa michezo wa ndani katika Jiji la Mwanza eneo la Kishiri
  • Kuongeza mapato ya ndani kwa Halmashauri ya jiji
  • Kuwepo na program nzuri ya michezo, hususan mpira wa pete, mikono, mpira wa meza na michezo mingine
  • Kuwa na uwanja utakasaidia mahitaji ya wananchi na pia kuleta starehe kwa wananchi wa Jiji
  • Kuongeza vipaji kwa vijana wa Jiji la mwanza
  • Kuongeza ajira kwa vijana

2,500,000,000

MWANZA CC &MWEKEZAJI

Jumla ndogo

9,169,230,695

4

MASOKO

4.1

Ujenzi  wa Soko la wafanyabiashara Buhongwa
  • Chanzo cha ajira kwa wananchi
  • Kupendeza mandhari ya Jiji
  • Kupunguza suala la foleni
  • Kutengeneza mazingira mazuri ya biashara
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Kuongeza mapato kwa Halmashauri
  • Chanzo cha vyanzo vingine vya uwekezaji.

1,500,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

4.2

Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara Igoma
  • Chanzo cha ajira kwa wananchi
  •  Kupendeza mandhari ya Jiji
  • Kupunguza suala la foleni
  • Kutengeneza mazingira mazuri ya biashara
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Chanzo cha vyanzo vingine vya uwekezaji.

1,350,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

4.3

Ujenzi wa soko la mazao ya Kilimo na Samaki eneo la Mkuyuni
  • Kupendezesha mandhari ya  Jiji
  • Kupunguza suala la foleni
  • Kutengeneza mazingira mazuri ya biashara
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Chanzo cha vyanzo vingine vya uwekezaji.

5,340,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

4.4

Umaliziaji wa Soko la wafanyabiashara Bugarika
  • Chanzo cha ajira kwa wananchi
  •  Kupendeza mandhari ya Jiji
  • Kupunguza suala la foleni
  • Kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya biashara
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Kuwa chanzo cha vyanzo vingine vya uwekezaji.

143,000,000

MWANZA CC

4.5

Uboreshaji wa soko la Mjini Kati
  • Kupendeza mandhari ya Jiji
  • Kupunguza suala la foleni
  • Kutengeneza mazingira mazuri ya biashara
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri
  • Chanzo cha vyanzo vingine vya uwekezaji.

                         214,368,000,000,000

MWEKEZAJI

Jumla ndogo

214,376,190,000,000

5

ENEO LA MAPUMZIKO

5.1

Eneo kwa ajili ya Kupumzikia, michezo ya watoto na watu wazima, michezo ya kwenye maji (Water Sports),  Hoteli na migahawa nk. Eneo la Tampere
  • Kuzalisha ajira kwa wananchi
  • Kupunguza na kuondoa umasikini
  • Kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi
  • Kuboresha masuala ya kimazingira na kijamii
  • Eneo zuri kwa michezo ya watoto

6,100,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

Jumla ndogo
 
6,100,000,000

6

USIMAMIZI WA MAZINGIRA

6.1

Material Recover Facility
  • Process residential and commercial recyclables waste from Mwanza City and neighbouring districts
  • Add value on solid wastes produced

33,000,000,000

MWANZA CC & MWEKEZAJI

Jumla ndogo
 
33,000,000,000

7

UFUGAJI NYUKI

7.1

Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kusindika mazao ya asali
  • Kuongeza thamani kwa mazao ya nyuki
  • Kuzalisha ajira kwa wananchi
  • Kuwa chanzo kingine cha miradi ya uwekezaji
  • Chanzo cha mapato kwa Halmashauri

1,455,000,000

MWANZA CC & MWEKEZAJI

7.2

Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kutengeneza  vifungashio vya  mazao ya Nyuki
  • Kuongeza ubora wa bidhaa zitokanazo na mazao ya nyuki
  • Kuongeza thamani kwa mazao ya nyuki
  • Chanzo cha mapato kwa Halmashauri

1,200,000,000

MWANZA CC & MWEKEZAJI

Sub - Total

2,655,000,000

8

MIPANGO MIJI-NYUMBA NA MAKAZI

8.1

Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Isamilo
  • Chanzo cha mapato kwa Halmashauri
  • Kupendezesha mandhari ya Jiji
  • Chanzo cha ajira kwa wananchi
  • Kuboresha utoaji wa Huduma kwa wananchi

2,100,000,000

MWANZA CC, NHC & MWEKEZAJI

8.2

Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Lwanhima
  • Chanzo cha mapato kwa Halmashauri
  • Kupendezesha mandhari ya Jiji
  • Chanzo cha ajira kwa wananchi
  • Kuboresha utoaji wa Huduma kwa wananchi

3,000,000,000

NHC & MWEKEZAJI

8.3

Mradi wa Upimaji wa Viwanja eneo la Lwanhima
  • Kuboresha mandhari ya Jiji
  • Kuwa chanzo kingine cha miradi ya uwekezaji
  • Kuboresha mazingira ya makazi kwa wananchi wa Igogo

6,500,000,000

MWANZA CC

8.4

Kuboresha maeneo ambayo hayajapimwa katika Jiji hususan eneo la Igogo (Igogo informal settlement)
  • Kuboresha mandhari ya Jiji
  • Kuwa chanzo kingine cha miradi ya uwekezaji
  • Kuboresha mazingira ya makazi kwa wananchi wa Igogo

                           87,952,800,000,000

MWEKEZAJI

8.5

Kupanga upya maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza (Redevelopment of Mwanza City)
  • Kuboresha mandhari ya Jiji
  • Kuwa chanzo kingine cha miradi ya uwekezaji
  • Kuboresha mazingira ya makazi kwa wananchi wa Igogo

                         268,999,200,000,000

MWEKEZAJI

Jumla ndogo

356,963,600,000,000

9

HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO

9.1

Uanzishaji wa Televisheni ya Jiji
  • Kutoa elimu kwa wananchi
  • Kutoa taarifa kwa wananchi juu ya masuala mbalimbali
  • Kutangaza fursa za Uwekezaji zilizopo (Investment opportunities available in Mwanza City)
  • Kuzalisha ajira
  • Kuongeza kipato kwa wananchi

2,100,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

9.2

Ujenzi wa jengo la kutolea taarifa kwa wananchi (Information centre)

700,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

Jumla ndogo

2,800,000,000

10

KILIMO NA USHIRIKA

10.1

Ujenzi wa kiwanda cha kusindika zao la nyanya na matikiti maji
  • Kuongeza thamani ya bidhaa
  • Kuongeza mapato kwa Halmashauri ya Jiji
  • Kuzalisha ajira kwa wananchi

625,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

Jumla  ndogo

625,000,000

11

AFYA

11.1

Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura (Emergency department)
  • Kuweza kutoa huduma ya haraka kwa  magonjwa ya dharura 
  • Uwepo na huduma ya ICU
  • Uwepo na chumba cha upasuaji
  • Kuzalisha mapato kwa halmashauri ya Jiji

870,000,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

11.2

Ujenzi wa jengo kwa ajili wagonjwa wa Private na wale wanaotumia kadi za NHIF
  • Kuweza kutoa huduma ya haraka kwa  magonjwa ya dharura 
  • Uwepo na huduma ya ICU
  • Uwepo na chumba cha upasuaji
  • Kuzalisha mapato kwa Halmashauri ya Jiji

644,540,000

MWANZA CC& MWEKEZAJI

Jumla ndogo

1,514,540,000

12

MISITU

12.1

Mradi wa kuotesha na kukuza miche ya miti 300,000 kitaluni na kupanda katika shule za Msingi, Sekondari na taasisi za Umma
  • Kuboresha hali ya mazingira katika Jiji
  • Kuzuia mmomonyoko wa udongo
  • Luboresha mandhari eneo kwenye maeneo ambayo miti itapandwa

72,000,000

MWANZA CC

12.2

Mradi wa uboreshaji wa bonde la Nyegezi
  • Kuzuia mmomonyoko wa udongo
  • Kuboresha hali ya mazingira katika Jiji

35,000,000

MWANZA CC

Jumla ndogo

107,000,000

13

MIFUGO

13.1

Ukarabati na Uwekaji wa mashine za kisasa kwenye Machinjio ya Jiji eneo la Nyakato
 
  • Kuhakikisha nyama inayotoka katika machinjio ni ya kiwango kilicho bora kiafya
  • Kuboresha utoaji wa huduma iliyo bora kwa wananchi
  • Kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri kwa wastani wa kati ya 1.38 bilion hadi 2.4 Bilioni kwa mwaka

2,212,152,000

MWANZA CC

Jumla ndogo

2,212,152,000

14

ELIMU

14.1

Ujenzi wa Mabweni kwa shule za Sekondari za kutwa zilizopo Halmashauri ya Jiji
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kupunguza wazazi katika kusomesha watoto
Kupunguza tatizo la mimba mashuleni
Kupunguza utoro wa wanafunzi

  6,325,000,000.00

MWANZA CC , MWEKEZAJI WADAU WA MAENDELEO

14.2

Ujenzi wa madarasa ya shule za Msingi
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kuweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto
Kupunguza utoro wa wanafunzi

   30,150,000,000.00

MWANZA CC, WAWEKEZAJI NA WADAU WA MAENDELEO

14.3

Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za Msingi
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kuweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto
Kupunguza utoro wa wanafunzi

 14,140,059,000.00

MWANZA CC, WAWEKEZAJI NA WADAU WA MAENDELEO

14.4

Ujenzi wa madarasa kwa shule za Sekondari
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kuweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto
Kupunguza utoro wa wanafunzi

14,243,000,000

MWANZA CC, WAWEKEZAJI NA WADAU WA MAENDELEO

Jumla ndogo

64,858,059,000

JUMLA KUU

571,584,081,922,695

2.0      Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mpango wa Uwekezaji

No

Project name

YR 1

YR 2

YR 3

YR 4

YR 5

Total Cost

2018-2019

2019-2020

2020-2021

2021-2022

2022-2023

1

Upanuzi wa Stendi ya mabasi Nyegezi

5,000,000,000

3,875,000,000

8,875,000,000

2

Ujenzi wa ukumbi wa mikutano na eneo la kuegesha magari  Gandhi hall

6,000,000,000

4,000,000,000

4,400,000,000

14,400,000,000

3

Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Buhongwa

25,000,000,000
20,000,000,000

20,430,000,000

65,430,000,000

4

Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Igoma
 
35,000,000,000

9,575,000,000

44,575,000,000

5

Ukarabati wa Uwanja wa Nyamagana

3,889,230,695

2,000,000,000

5,889,230,695

6

Ukarabati wa Viwanja vya michezo katika jiji la Mwanza

400,000,000

180,000,000

580,000,000

7

Ujenzi wa uwanja wa michezo wa ndani katika Jiji la mwanza
 
2,500,000,000

2,500,000,000

8

Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara Buhongwa
1,500,000,000

1,500,000,000

9

Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara la Igoma
1,350,000,000
 
1,350,000,000

10

Ujenzi wa soko la mazao ya Kilimo na Samaki eneo la Mkuyuni
 
5,340,000,000

5,340,000,000

11

Umaliziaji wa Soko la wafanyabiashara Bugarika

90,000,000

53,000,000

143,000,000

12

Uboreshaji wa soko la Mjini Kati
 
100,000,000,000,000

100,000,000,000,000

14,368,000,000,000

214,368,000,000,000 

13

Eneo kwa ajili ya Kupumzikia, michezo ya watoto na watu wazima, michezo ya kwenye maji (Water Sports),  Hoteli na migahawa nk. Eneo la Tampere

6,100,000,000

6,100,000,000

14

Material Recover Facility

15,000,000,000

10,000,000,000

8,000,000,000

33,000,000,000

15

Mradi wa Upimaji wa Viwanja eneo la Lwanhima

6,500,000,000

6,500,000,000

16

Kuboresha maeneo ambayo hayajapimwa katika Jiji hususan eneo la Igogo (Igogo informal settlement)

50,000,000,000,000

     37,952,800,000,000

     87,952,800,000,000 

17

Kupanga upya maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza (Redevelopment of Mwanza City)

    268,999,200,000,000

   268,999,200,000,000 

18

Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya Mazao ya asali

1,455,000,000

1,455,000,000

19

Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kupaki bidhaa za mazao ya Nyuki

1,200,000,000

1,200,000,000

20

Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Isamilo
 
1,500,000,000

600,000,000

2,100,000,000

21

Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Isamilo Lwanhima
 
2,000,000,000

1,000,000,000

3,000,000,000

22

Uanzishaji wa Televisheni ya Jiji la Mwanza

1,100,000,000

1,000,000,000

2,100,000,000

23

Ujenzi wa jengo la kutolea taarifa kwa wananchi (Information centre)
 
700,000,000

700,000,000

24

Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya mazao ya nyanya
 
625,000,000

625,000,000

25

Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura ( Emergency department)

500,000,000

370,000,000

870,000,000

26

Ujenzi wa jengo kwa ajili wagonjwa wa Private na wale wanaotumia kadi za NHIF

644,540,000

644,540,000

27

Mradi wa kuotesha na kukuza miche ya miti 300,000 kitaluni na kupanda katika shule za Msingi, Sekondari na taasisi za Umma

50,000,000

50,000,000

100,000,000

28

Mradi wa uboreshaji wa bonde la Nyegezi

35,000,000

35,000,000

29

Ukarabati na Uwekaji wa mashine za kisasa kwenye Machinjio ya Jiji eneo la Nyakato

2,212,152,000

2,212,152,000

30

Ujenzi wa Mabweni kwa shule za Sekondari za kutwa zilizopo Halmashauri ya Jiji

2,575,000,000
1,250,000,000
1,250,000,000
1,250,000,000

  6,325,000,000 

31

Ujenzi wa madarasa ya shule za Msingi

1,000,000,000

4,000,000,000

5,000,000,000

5,100,000,000

5,050,000,000

   20,150,000,000

32

Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za Msingi

1,000,000,000

2,140,000,000

2,000,000,000
2,000,000,000
2,000,000,000

 9,140,000,000

33

Ujenzi wa madarasa kwa shule za Sekondari

5,243,000,000
5,000,000,000
7,000,000,000

17,243,000,000

JUMLA KUU

         18,026,382,695 

37,322,540,000

100,078,078,000,000

          150,080,950,000,000 

          321,369,705,000,000 

571,584,081,922,695

571,584,081,922,695

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.