Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza unawapongeza na kuwakaribisha waajiriwa wapya 51
waliopangiwa katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza;
Idara ya Afya - 18
Idara ya Elimu sekondari - 15
Idara ya Elimu Msingi - 18
Aidha waajiriwa wote wapya mtatakiwa kuripoti kabla au ifikapo tarehe 11 - Julai - 2022.
Kwa usaidizi zaidi, wasiliana nasi kupitia:
Mkurugenzi wa Jiji 0767 302 490
Afisa Utumishi Mkuu 0765 596 370
Afisa Elimu Msingi 0766 360 260
Afisa Elimu Sekondari 0712 443 874
Mganga Mkuu Jiji 0717 012 588
KARIBUNI SANA!
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.