• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Kilimo na Ushirika

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika inaundwa na sehemu tatu (3) ambazo ni:-

  •  Kilimo
  •  Umwagiliaji
  • Ushirika

 Majukumu ya idara

Jukumu kuu la Idara hii ni kuhamasisha, kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

  1. , usambazaji wa uuzaji wa pembejeo na zana za kilimo kutoka maduka ya watu binafsi.
  2.  Usimamiaji wa matumizi ya pembejeo za kilimo katika Vijiji/Mitaa/Kata.
  3.  Kutoa elimu/ushauri wa matumizi ya mbolea na madawa, kilimo mseto, usindikaji wa mazao,  hifadhi ya udongo na matumizi bora ya ardhi, kilimo cha umwagiliaji na uzalishaji wa mazao mbalimbali ya nafaka, uyoga, mboga, matunda, miche ya matunda, miti ya kivuli na maua kwa kuzingatia kanuni bora kwa wakulima mmoja mmoja au vikundi.
  4. Kufanya tathmini kuhusu hali ya chakula  na  lishe katika Halmashauri yetu.
  5.  Kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Projects – DADPs).
  6.  Kufanya maandalizi na kushiriki maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane.
  7.   Kuboresha vyama vya ushirika vya aina mbalimbali.
  8. Kuimarisha ushirika wa akiba na mikopo.
  9.   Kutoa mafunzo na elimu kuhusu vyama vya ushirika.
  10.  Kupunguza na kuzuia  milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji safi na salama
  11.   Kusimamia vyema miradi  

Matangazo ya Kawaida

  • Tangazo la nafasi za Kazi za Tabibu Daraja la II(Clinical officer II) na Mteknolojia wa Maabara May 10, 2018
  • Tangazo nafasi ya Kazi ya Tabibu daraja la II na Muuguzi Msaidizi May 10, 2018
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WOTE WA JIJI LA MWANZA September 18, 2018
  • WATUMISHI WAFUATAO WAFIKE OFISI NAMBA 7 KWA AJILI YA ZOEZI LA UHAKIKI-NIDA May 03, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa wilaya akagua Miradi

    February 11, 2019
  • Jiji la Mwanza lafaidika na vifaa vya uokoaji kutoka SUKOS

    November 27, 2018
  • Naibu Meya wa Jiji la Mwanza Mhe.Bhiku Kotecha awapongeza wanafunzi wa shule ya Msingi Nyamagana baada ya Matokeo

    November 02, 2018
  • Mkuu waMkoa wa mwanza ataka wote waliohusika kwenye udanganyifu wa Mitihani kuchukuliwa hatua mara Moja

    October 06, 2018
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya wageni

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.